ποΈποΈ 01:17 amAnyone π
Unakeshea wapi jiraniποΈποΈ 01:17 am
Nakesha home hapa jiraniUnakeshea wapi jirani
Pole.. leo kichwa chamoto had piriton zimedunda πNakesha home hapa jirani
Halafu weekend bado hiki ndo kinachoniuma πPole.. leo kichwa chamoto had piriton zimedunda π
Ni kua mpole tu πHalafu weekend bado hiki ndo kinachoniuma π
Migori ya Kenya au ile ya iringa karibu na bwawa la mtera mkuu.01:20 30/05 Migori
00:20 30/05 Monaco
15:20 29/05 California
07:20 30/05 Seoul
Listening π
Fally Ipupa ~ Mayday
Kenya karibu na Mara, kandokando ya vijito vya mto Mara, kwenye mwambao wa ziwa Victoria, kilomita 300 kutoka jijini Mwanza πMigori ya Kenya au ile ya iringa karibu na bwawa la mtera mkuu.
Kaunti ya migori hiyooooo!Kenya karibu na Mara, kandokando ya vijito vya mto Mara, kwenye mwambao wa ziwa Victoria, kilomita 300 kutoka jijini Mwanza π
Ndio mkuu una nini?
Swadakta mkuuKaunti ya migori hiyooooo!
Unang'aaNdio mkuu una nini?