Hata hivyo nikitaka kwenda Kariakoo kutoka uswahilini napanda Daladala, bajaj, bodaboda au tax.Nawashangaa wanaume wa DSM,
.... Wao chips mayai,chips mayai, yan hata kula muwa hawawezi mpaka wakamuliwe juice ndo wanakula muwa....
Wacha weeeh, hongera kwa kutokula krismas lakini Chistmass ulikula[emoji40] [emoji125]Nyie bandugu mlikuwa mmefichana wapi? Kwanini mlinitesa hivyo kwa kuwahamu? Hivi mnajua sikula kabisa krismas kwasababu ya kuwamiss? [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Embu ninong'oneze mamy,kwani mlikuwa wapi? (sitamwambia mtu) [emoji101] [emoji101] [emoji101]OHoooo pole darln wa sie
Ndo maana tulikuwa tunakuongelea sana hiyo siku. Ucjali utakuwa ni part ya mazoez ya umodo.
btw nilikumis. Hatuijarud rasmi
Alikula huyoWacha weeeh, hongera kwa kutokula krismas lakini Chistmass ulikula[emoji40] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nasikia walienda kishumundu kufungia ndoa huko [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Silali na watoto..watalowanisha godoro
Ohooo! Kumbe umekuja kutuonjesha tu halafu upotee tena? Jamani nionee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio nitakufa kwa kukumiss [emoji24] [emoji24] [emoji24]Likewise here
. Duuuh acha nitarud rasm na nitakuwa mfungua na mfunga geti
Ila jina langu sio gumu kama la kwako[emoji15]Yuko na mwalimu wake mpya @Mwifa watakua wako tuishieni kidogo
Hebu wape kwanza kiti wakae uwape na vinywaji ndo mashtaka yaanze, we huoni wamechoka?[emoji41]Kusema kweli hili linaumiza kichwa, kwanini waliondoka siku moja na wamerudi siku moja halafu wanadai wamemisiana? [emoji72] [emoji72] [emoji72]
Poapoa mkuuThanks team wazee wa busara
Wala sikula kabisa noel bali nilikunywa maji tu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wacha weeeh, hongera kwa kutokula krismas lakini Chistmass ulikula[emoji40] [emoji125]
Wakati wa mkoani wanatembea , si hapo tuHata hivyo nikitaka kwenda Kariakoo kutoka uswahilini napanda Daladala, bajaj, bodaboda au tax.
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku yakibadilika kuwa Physical change nishtue
Umesahau kuwa wewe ndiye uliyeniambia hiyo habari? [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ulisikia kutoka kwa nani, hebu tusubiri uthibitisho kutoka kwao
Koh koh kohNili R.I.P baada ya kukumiss kwa muda mrefu, nashukuru umerudi kabla sija....
Kweli tena, mi sikula bali nilikunywa tuAlikula huyo
UsijaliNavuta pumzi mkuu nadhani leo kwa mara ya kwanza nitafunga geti!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kweli tena, mi sikula bali nilikunywa tu
Nakana shtaka sijawahi na sinta shuhudia uongo.Umeanza lini hii tabia ya kushuhudia uongo?