cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Naam nipo njema kabisa
Wanasemaje huko ughaibuni?
Naam nipo njema kabisa
Wanasemaje huko ughaibuni?
Hii lugha gani??Vumbi limejaa sana hapa ughaibuni kwangu na jua kaliiiii, hadi naenda rudi tena kijijini kulima mvua kunona.
Leo nimetembea masaa mazoezi na hivi kuishi kando ya jiji.. Hewa nzuriiiii kuelekea sauzi..
Kijijini raha
π₯ππππ π₯π₯πΆοΈπ₯¦π₯¬π·
Hii lugha gani??
Hahahha mwenyewe pia naonaga una kiswahili kigumu sana, kila siku lazima nisome post zako ila sielewiKiswahili mbona au! humu una umeseti kina auto translate kwako?