ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Yani acha tu, vyuma vilikaza sana mwaka uliopita ndio maana niliadimika.. Ila mwaka huu vyuma vimelainika kiasi sasa nakula bata tuSijambo..sio kwa kuadimika huko nakumbuka nilipoanzaga upopo nilikua nakuchanganya ww na dingimtoto
Sikumoja ukaniambia we kila siku ni popo hulali nkakujibu ndio hapo ndo mwisho sikukuonaga tena mpk mwaka huu
Salama salmin!!!!kabisa sijui wewe mwaka umeupokeaje mpendwaPoa mpendwa za sikukuu?
AiseeeehSijambo,mambo mpendwa wangu
Eeh !! Ulikua unatuchanganya tena[emoji15]Sijambo..sio kwa kuadimika huko nakumbuka nilipoanzaga upopo nilikua nakuchanganya ww na dingimtoto
Sikumoja ukaniambia we kila siku ni popo hulali nkakujibu ndio hapo ndo mwisho sikukuonaga tena mpk mwaka huu
Kwa kushinda ndani mpendwaSalama salmin!!!!kabisa sijui wewe mwaka umeupokeaje mpendwa
Kamanda ngoja nikutafutie ajira Global publishersAiseeeeh
Labda tunafanana mkuu, hebu tupia picha yako hapa nioneEeh !! Ulikua unatuchanganya tena[emoji15]
Kwanin,, ushinde ndani my dearKwa kushinda ndani mpendwa
[emoji15] [emoji15] aisee afadhali yako...huku kwetu mbona bado viko tight...bas ntakua karibu na ww labda itasaidia na vyangu vilainikeYani acha tu, vyuma vilikaza sana mwaka uliopita ndio maana niliadimika.. Ila mwaka huu vyuma vimelainika kiasi sasa nakula bata tu
Kwa uchochezi tu unauwezaAiseeeeh
Kwan kuna nn kamanda?Kamanda ngoja nikutafutie ajira Global publishers
kama kawa.. Mida ya kuwapa kunguni rikizoMda tayar wa mapoooopo
Tafuta grease Inna usitumie mate utakesha shauri yako[emoji15] [emoji15] aisee afadhali yako...huku kwetu mbona bado viko tight...bas ntakua karibu na ww labda itasaidia na vyangu vilainike
[emoji2] ndio majinaaEeh !! Ulikua unatuchanganya tena[emoji15]
Unajua wanifanyiaga sio kabisa.!Kwa uchochezi tu unauweza
Umeonaa eee aisee huyo kanshinda ametoka kunigombanisha na ivugaKamanda ngoja nikutafutie ajira Global publishers
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Labda tunafanana mkuu, hebu tupia picha yako hapa nione
Hii hapaLabda tunafanana mkuu, hebu tupia picha yako hapa nione
Hamna wa kunitoa out[emoji85]Kwanin,, ushinde ndani my dear