JamiiForums Usiku wa manane

Mwenye kusikia na asikie. Umenena ukweli mchungu
 
Inaonekana ulitusua sana shule, sio kwa hizi kumbukumbu.

Si unajua tena ki-JF unaweza kuwa hoi muda wowote😅

Wala hakuna maajabu.
kiukwel akili za class na maisha zipo za kutosha si unajua ma left hand tulivyo eeh😜👌 ila sipendi kujishughulisha🤣

yeah nakielewa ki JF chetu kuna mda kinawaka mnoo

kwani na wew unakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…