Naangalia mtanange huuukumbe unatufuatilia kwa ukaribu sana eeh π π π
Vipicha ndo vilinisanuaπ Hadi muandiko umebadilisha.sa kitu chako ukashindwa kukifahamu kweli jamni?π€ you can't be serious π
vizuri sana π€£Naangalia mtanange huuu
hahahaha kwani muandiko wa zamani ulikuajeπ€ una mambo ujueπVipicha ndo vilinisanuaπ Hadi muandiko umebadilisha.
Muandiko wa majaniπhahahaha kwani muandiko wa zamani ulikuajeπ€ una mambo ujueπ
π€£π€£π€£π€£ jinga sana wew,, saivi nimechange kila kituMuandiko wa majaniπ
Hatimaye umekuja mjiniπ€£π€£π€£π€£π€£ jinga sana wew,, saivi nimechange kila kitu
mjini ndo wapi? mi sijabadili mazingiraHatimaye umekuja mjiniπ€£
Ubarikiwe sana, upate mapacha 1,000!Hata kalaki tu mimi kananitosha tajeerπ
Shape letu la twiga liko pale pale...πmjini ndo wapi? mi sijabadili mazingira
Nipate tena?Ubarikiwe sana, upate mapacha 1,000!
leo tu nimetoka kusemwa natembea kwa kuyumba kama twiga nimemind hatariππShape letu la twiga liko pale pale...π
Ni baraka hizo nimekunenea. Mapacha elfu moja.Nipate tena?
Furahia, unataka utembee kwa kunesa kama kiboko?leo tu nimetoka kusemwa natembea kwa kuyumba kama twiga nimemind hatariππ
Mimi nataka tangible things my dear! Hizo baraka nimemiminiwa sana naona hola tu na karne zinasonga!Ni baraka hizo nimekunenea. Mapacha elfu moja.
Kukataa baraka ni dhambi.
hata ngiri fresh tuπ€£π€£π€£Furahia, unataka utembee kwa kunesa kama kiboko?
Mumeo hajambo?utani utani tu saa 6 hii hapa alf na weekend inavyowahi kuishaπ