MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
I used to cherish that saying with my little brother Intelligent businessman but now sijui yu wapi ? Na anaendeleaje huko alipo .winnone fucking the world😎
Huogopi kudhurika? Shauri yako.nataka nikusaidie hiyo changamoto yako bruh sijauliza kwa ubaya
😂😂 VR si mahakama ya mwisho. Wanaweza kusema chochote, ila ukweli wenyewe unaishi nje ya comments. Endeleeni na utani, msije mkauamini wenyewe. 😄🏃♂️VR inasema wewe ni ke ya kweli haya🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Aah wapi acha siasa unataka ku brend juice 🤣🤣🤣 koti lako la zamani lifue uingie lindo😂😂 VR si mahakama ya mwisho. Wanaweza kusema chochote, ila ukweli wenyewe unaishi nje ya comments. Endeleeni na utani, msije mkauamini wenyewe. 😄🏃♂️
Bora umekuja Barafu wa moyo wangu Mama la Mama.0000
Liar🥸Bora umekuja Barafu wa moyo wangu Mama la Mama.
The Icebreaker unaimuta bebi kumbe nae ana bebiShadow7 miss you aisee
"Koto langu linaweza kufuliwa, ila wivu wa mtu hausafishiki kwa sabuni. 😅"Aah wapi acha siasa unataka ku brend juice 🤣🤣🤣 koti lako la zamani lifue uingie lindo
PoleLeo kuna kitu kinachakata ubongo wangu natamani nilale usingizi hauji ningekuwa na vidonge vya usingizi ningemeza
mara ya mwisho alisema anaumwa na aliniahidi kurudi akipata unafuu ila mpka saivi sijui chochote kuhusu yeye ila bado namsubiri ni matumaini yangu yuko salama huko alikoI used to cherish that saying with my little brother Intelligent businessman but now sijui yu wapi ? Na anaendeleaje huko alipo .
Ila maombi yangu awe salama na Allah ampe ustahimilivu na wepesi kwa kila jambo analopitia .
Zaidi akirudi mwambie baba yake wa hiyari yuko hoi bin tabaani ,wa leo wa kesho hivyo amuweke kwenye dua .
Najua kuna mbaya wangu kisha leta unoko huko.Liar🥸
AhsantePole
Basi lisafishe uvae acha ngojera mahi🤣🤣"Koto langu linaweza kufuliwa, ila wivu wa mtu hausafishiki kwa sabuni. 😅"
makubwa,, sasa yanki kama wew unaweza kunidhuru?Huogopi kudhurika? Shauri yako.
We haya.