ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Nafikiria au bwana harusi awe yeye ERTUGRUL BEY ujue mipango ya ndoa tayari mume baado π«£π«£thanks much ert..... mimi nakupenda sijui huyo she's βΊοΈ
Au wewe ndiyo uwe bwana harusiπ πNtakushikia kipochi ukienda clinic ππ
eti mtoto anataka hapoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ na hapo huwezi kubisha dahππKheeh
Wasiwasi wako tuuπ
Chuo kuna wadada anafanya Ue na tumbo lake kubwa πππ na hata hawazi anafika examination room kachelewa anakuta mtu kaka anamwambia ampishe mtoto anataka hapoπππunabaki kucheka tuu
Mmh mpaka ufikirie tena!!!! Win hajafikiria yeye amesema ananipenda tuNafikiria au bwana harusi awe yeye ERTUGRUL BEY ujue mipango ya ndoa tayari mume baado π«£π«£
toba, Kwani bwana harusi hayupo? π’A
Au wewe ndiyo uwe bwana harusiπ π
Mpaka wasimamizi wakacheka tuuπππeti mtoto anataka hapoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ na hapo huwezi kubisha dah
Yote sawa tu ππA
Au wewe ndiyo uwe bwana harusiπ π
khaaa kwahiyo unanichezea πNafikiria au bwana harusi awe yeye ERTUGRUL BEY ujue mipango ya ndoa tayari mume baado π«£π«£
Unaanza ku compere πMmh mpaka ufikirie tena!!!! Win hajafikiria yeye amesema ananipenda tu
Yupo tayari kakubaliπ πtoba, Kwani bwana harusi hayupo? π’
Hapana babe πkhaaa kwahiyo unanichezea π
Hiyo Kali mipango ya ndoa tayar ila mume hajalikanitoba, Kwani bwana harusi hayupo? π’
Mbona umekubali haraka au ulikua una ni crush kisiri siri π π πYote sawa tu ππ
Hapana bwana,to be honest I love you guys sana, mko na vibe sana,wacheshi,yani mkiwepo sehemu amsha amsha inakuwepoUnaanza ku compere π
no huzuni walah π€£Mpaka wasimamizi wakacheka tuuπππ
ujue mi nikahisi ni kwel umeniudhiiiiiiiiiiYupo tayari kakubaliπ π
win-one tunapendwaaaa shost kutoka kwenye moyo wa baba othman ππHapana bwana,to be honest I love you guys sana, mko na vibe sana,wacheshi,yani mkiwepo sehemu amsha amsha inakuwepo
Am very proud of you ,it's not a joke ni kweli kabisa from my heart
haya tangaza hiyo ndoa hapa nianze kupitisha daftari la mchango ππHapana babe π
I think you know it from code 007Mbona umekubali haraka au ulikua una ni crush kisiri siri π π π
Kataa ndoa linda afya yako ya akili π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ujue mi nikahisi ni kwel umeniudhiiiiiiiiii