ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Soree kumbe ni memfanyia bullying sikujuaAcha kumbully bwana she's so loving and caring
Thank you have a wonderful day tooohapa umenena chukua haya maua yangu ila nakugawia kidogo π
Mbona juniyaaπ€£π€£aloooo nimelia sana,, yani unanilinganisha na juniya eleven kweli?π
Yes, hata matani sometimes hugeuka kuwa bullying... BTW sikuwa serious tooπSoree kumbe ni memfanyia bullying sikujua
wew piaπ€Thank you have a wonderful day tooo
Usiwe na nongwa kama hawa wengine... Unanafsi nzuri sana
hauoni tabia zake ni za kijuniya juniyaπMbona juniyaaπ€£π€£
Haaπ aisee nyie wanawake hatuwawezi kwa kwelialoooo nimelia sana,, yani unanilinganisha na juniya eleven kweli?π
Naona Juniya ana ku protect aiseeπ€£hauoni tabia zake ni za kijuniya juniyaπ
Yaani nimekupa mauwa yangu alafu unanigeuzia kibao tena? Kwa kweli πhauoni tabia zake ni za kijuniya juniyaπ
Haya mjuzi wa mambo I'm out byeYes, hata matani sometimes hugeuka kuwa bullying... BTW sikuwa serious tooπ
Daah aisee basi hapa sina madogo kabisa?Naona Juniya ana ku protect aiseeπ€£
hata sijageuza, mbona na mimi nimekugawia ya kwangu kidogoπYaani nimekupa mauwa yangu alafu unanigeuzia kibao tena? Kwa kweli π
Kuja nikakiamini sio leo wala kesho... πhata sijageuza, mbona na mimi nimekugawia ya kwangu kidogoπ
mi piaπKuja nikakiamini sio leo wala kesho... π
Mimi niko wazi kabisa huwa siongopei mtu.. Yaani hakuna cha kuficha.mi piaπ
Hahahaha π€£ πmimi ni mpole ndio, ila sipendi kuwa chanzo cha ugomvi,,,
nimechoka kujieleza hebu niacheπ π utakoma sasa
πππ Niache!Mimi huwa nawaambia hawa wadogo zangu wakina ephen_ win-one wasimsikilize huyu dada yao binti kiziwi ntawapo teza wanapaswa kuwa wema, wa mche Mungu na kuishi katika njia kuu ya upendo. Ila sasa natumia nguvu sana.. Labda ujaribu na wewe mkuu
Sikuachi ng'oo yaani nimekuwa crushed na wewe since 2021 alafu leo tu nikiache kirahisi namna hiyoo?πππ Niache!