JamiiForums Usiku wa manane

hiyo sentesi ya mwanzo sijaiona macho yanauma😎

oooh kwahiyo wew na wenyeji wako ni marastafaliani? wamatengo ni wapi kwanza 🤔
Mbinga ndani ndani huku, unakuja kama unaenda shimoni, unapanda na kushuka mabonde na milima hadi unakuja kuibukia kwenye Kijiji kinaitwa Kipapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…