JamiiForums Usiku wa manane

Watatu, kila mtoto na babaake ๐Ÿ˜Ž
Aww jamanii nawaombeni watoto wangu basi ukute nilikuwa coma nikaibiwa labor na sijui๐Ÿฅน
Au nimepewa taarifa zako ambazo ww mhusika huzijui ๐Ÿ˜‚
Unaweza kuta mmechanganya mafaili bila kujua ohoo! Kaombe taarifa mpya mnanichosha kuwaelezea ujue๐Ÿ™„

Mwingine kaambiwa huyo marlayer tu yani mnanipa tabu๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ