Nina marafiki wa kiume na wengine tuna zaidi ya miaka 10 na hatujawahi kuvuka mipaka! Kama una tabia zako mbaya hata bila kujisogeza kwa wanawake zitaoneoa tu!Seran hakunaga urafiki wa me na ke chukua hilo Kila mtu anae kuja kwako huja kwa KAZI maalumu amini hilo
Ichungulie muda ambao huyo mtu kashalala kama saa hizi😁 kesho mapema unajikaushaa😂hahaha!hii nyuzi Kila nikitaka kuifungua naona mtu ninae heshimiana nae Sana ananichungulia sema ngoja niitafutie time tuu
Hao wanakua si marafiki, hao wanakuchukulia wewe kama dada japo wewe unawaona marafiki wao wanakuona dada, jua kutofautishaNina marafiki wa kiume na wengine tuna zaidi ya miaka 10 na hatujawahi kuvuka mipaka! Kama una tabia zako mbaya hata bila kujisogeza kwa wanawake zitaoneoa tu!
nisaidie namna ya kuiomba siunajua wengine umri tena,Usijali kijana we msemeshe tu unajizingusha sana, haiombwi hivyo mkuu🤣
hapohapo kwenu Kanda ya ziwa nikiwa field miaka ya mzee wa msogaUmeikuta wapi?
Wewe utakavyoona ila ni marafiki na tunaitana marafiki!Hao wanakua si marafiki, hao wanakuchukulia wewe kama dada japo wewe unawaona marafiki wao wanakuona dada, jua kutofautisha
Kwani wewe sio kijana🫢nisaidie namna ya kuiomba siunajua wengine umri tena,
enhee vijana wa Leo mnaiombeje dogo ale??
Maajabu haya! Kweli unaweza ukaishi na mchawi ndani na usijue ila waliowazunguka wanajua!hapohapo kwenu Kanda ya ziwa nikiwa field miaka ya mzee wa msoga
Ichungulie muda ambao huyo mtu kashalala kama saa hizi😁 kesho mapema unajikaushaa😂
saivi ntashindwa kukoncentrateIchungulie muda ambao huyo mtu kashalala kama saa hizi😁 kesho mapema unajikaushaa😂
kwamba kweli huzijui izi mambo kabisaa!??Maajabu haya! Kweli unaweza ukaishi na mchawi ndani na usijue ila waliowazunguka wanajua!
aaah!kwa Sheria Za kwetu umri wa makamu wa raisi wanasema kijana Ila kwangu pale mm sio kijana bhanaKwani wewe sio kijana🫢
Mkuu mi ni mkongwe kiasi chake sio gen z, mkuu si mpaka akukubalie kwanza na mambo yote ni dm kaka 🤣🤣🤣🤣 ila seran anapendwa na wengi nadhani ndio pisi miongoni mwa wanaopendwa sana alafu si mkubwa huyo ni bintinisaidie namna ya kuiomba siunajua wengine umri tena,
enhee vijana wa Leo mnaiombeje dogo ale??
dogo Alex unapenda kujiamulia amulia mambo tuuhHao wanakua si marafiki, hao wanakuchukulia wewe kama dada japo wewe unawaona marafiki wao wanakuona dada, jua kutofautisha
Asante kwa taarifa mintaenda nae hivi hivi ,wewe unaonaje eti!?Mkuu mi ni mkongwe kiasi chake sio gen z, mkuu si mpaka akukubalie kwanza na mambo yote ni dm kaka 🤣🤣🤣🤣 ila seran anapendwa na wengi nadhani ndio pisi miongoni mwa wanaopendwa sana alafu si mkubwa huyo ni binti
Kama vitu gani? Mle ni kishungi tu unayemuheshimu naye tuko naye kule🤸🏽♂️saivi ntashindwa kukoncentrate
kuna vitu najua ntaambulia umo
Ni mambo ya ajabu kabisaa!kwamba kweli huzijui izi mambo kabisaa!??
Miaka kumi, no hao ni kaka zako mmesha fikia hatua ya kutikuoneana aibu mkuu, unaweza funguka mambo ya kifamilia Yako kwao miaka kumi mi sikumbuki hata marafiki zangu wa miaka mitano nyuma wako wapi sahiiWewe utakavyoona ila ni marafiki na tunaitana marafiki!
Ni kijana kabisaa!! Mzee awe macho muda huu wanakoroma tu!aaah!kwa Sheria Za kwetu umri wa makamu wa raisi wanasema kijana Ila kwangu pale mm sio kijana bhana
Fresh kaka enjoy🍻Asante kwa taarifa mintaenda nae hivi hivi ,wewe unaonaje eti!?
Wewe umewahi kuniona wapi mpaka ujiamlie mawazo yako yawe uhalisia wangu?Mkuu mi ni mkongwe kiasi chake sio gen z, mkuu si mpaka akukubalie kwanza na mambo yote ni dm kaka 🤣🤣🤣🤣 ila seran anapendwa na wengi nadhani ndio pisi miongoni mwa wanaopendwa sana alafu si mkubwa huyo ni binti