JamiiForums V.A.R

Kwanza, nimpongeze huyu ndugu yake Goliath (mfirist) kwa ubunifu wa kipekee ambao ulizaa uzi huu.
Pili, naona uzi huu unaanza kupoteza maana, kwani kuna picha zinawekwa hazihitaji kabisa video assistant referee maana ziko wazi.
Ili uzi huu umaintain hadhi yake tujitahidi kuweka picha ambazo zinahitaji var than hizo ambazo hata refa wa kijiji anaweka mpira kati.
Ni hayo tu kwa leo
 
Mkuu nakubaliana na ww kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…