Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona anaiwekea kufuri
Wenzetu bhana kweli wameendelea
Ata hiyo inamwenyewe.Nami nishike ya nani?
halafu huyu jamaa ni member wa humuhumu aliirushaga hii picha jf photo
Hivi vidude wadada wengi sana wanavyo ni basi tu havioni
Hahaaa kama hadi prince anavaa kiatu cha kichanika kweli magu kakaza vyuma dunia nzima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]