mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Hujaona zangu 2[emoji23][emoji23][emoji23] mimi naangalia picha za Mfilisti tu, wengine naruka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaona zangu 2[emoji23][emoji23][emoji23] mimi naangalia picha za Mfilisti tu, wengine naruka
Unaoenda kitu kubwa eeeh?Kudadadeki....hadi nimesisimka
SanaaaaUnaoenda kitu kubwa eeeh?
Cheki mkono wa jamaaSijaielewa
Mkono wa jamaa unagusagusa maungo ya Zari!Nakumbuka kipindi hicho diamond alipanic sana,akapost picha huku akiweka maneno "ndio maana mimi huwa nawachapaga tu"!Sijaielewa
Kumbe huyo ndo Zari?sikujua,Mkono wa jamaa unagusagusa maungo ya Zari!Nakumbuka kipindi hicho diamond alipanic sana,akapost picha huku akiweka maneno "ndio maana mimi huwa nawachapaga tu"!
Na kuna mwenzake mmoja nimemsahau jina. Hawa wengine wababaishaji tu. Waache, wasilazimishe.
Shukrani mkuu, mara zote nimekuwa nakupa heshima humu jamvini na tusi lako halijapinguza chochote katika hilo. Ila jifunze kupokea mawazo yasiyokufurahisha na ukijibu jibu kwa hoja na sio kutukana tukana hovyo.
Sawa mkuu. Zipo nyingi sana tu, unaweza kuniweka katika ignore list ukiona unakereka kuziona.Heshima my foot. Haya uwanja ni wako jaza sasa hizo V.A.R unazoona zinafurahisha. If u can pyeeeee
Sawa mkuu. Zipo nyingi sana tu, unaweza kuniweka katika ignore list ukiona unakereka kuziona.
Yote kheri mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo kwanzaa nimeweka makazi hapo nikucheki ulivyo mnafikiView attachment 901448