Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heshima kwako mkuu kwa kuanzisha bongee la uzi salute kwako 🙌🙌
Mfilisti ww hatar kweli, sijui unazipata wapi hizi picha, yaani nacheka sana
😆😆 picha zote zipo kwenye hii mitandao ya kijamii ni kuongeza tu umakini wakati unaziangaliaMfilisti ww hatar kweli, sijui unazipata wapi hizi picha, yaani nacheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mfululizo wa picha kabla na baada ya var ndo utamu wenyewe. Unaambiwa utamu wa pipi mate yako.Napendaga hizi picha za mwisho wanaoshangaaa baada ya kuona var[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway ngoja namimi nifukunyue[emoji38][emoji38] picha zote zipo kwenye hii mitandao ya kijamii ni kuongeza tu umakini wakati unaziangalia
Kweli mswahili ni mswahili tu yaani Sadio mane anatumia simu ka yangu tu
Wakat kiwanda cha bongo muvi kikiwa hot