brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Wewe Monicaaa akipewa ban lazima tufanye maandamano ya ukuta jf. Bila ya Monicaaa hapana jf[emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Monica
Monica ananichanganyaga sana
Unakusudia akina Kiranga[emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]SIWAPENDI WATU WANAOTAKA UBISHANI WAKATI FACT ZIPO TENA NI WAJINGA WAJINGA SANA HUMU JAMIIFORUMS WENGINE WANABISHIA UWEPO WA MUNGU HAWA NDIO WAKUTIA BAN KABISAA WANAVICHWA VIGUMU ZAIDI YA TOFALI
Alipie copyright[emoji6] [emoji125] [emoji125]unajipendekeza.
swissme
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]If wishes were horse....
Lizabon kila akitajwa buku saba inaingia mfukoni anateremsha moja baridi na chipsi kuku mayai. [emoji6] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huyu lizaboni Naona anadamu ya kunguni
Shetani husingiziwa tu, lakini sisi binaadamu ndio wenye kufanya mabaya yote. Hao waliotajwa kama wana mioyo mepesi sijui watachukua hatua gani? Babu yangu aliniambia ukiwa na maaduwi wengi ujuwe una rafiki wengi siku wasiokuona watahangaika wajuwe upo wapi.Dah watu tuna roho mbaya...,
Huyu jamaa nina wasiwasi nae sana na picha ya avatar yake. Ule mdomo alivyouvuta[emoji15] [emoji35] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Rayyoungr ningempa life ban kazidi kuendekeza uchoko
ee bhana.nashkuru kwan kunifahamishaUlikua hujui mkuu
Jtgjamwtpgajmwtpgjamtw pg.amtw pgamwtpgajmwt 7@gjmwtpgamtw p£lmwt pgamwt pgjmwtpmwt pgamwtpgamtw gamtw php@jmwpamtw ajt pgjwkwa hiyo wewe unataka mimi nipigwe ban.
swissme
ahh kaka Jambazi ningekubembeleza usimbani Mshana, napendaga he is so polite in replying hata kama amekuwa insulted... CC Mshana Jr.mshana jr namlima Ban moja matata sana!
Yaani Ban ya maisha na wiki mbili na siku 4!
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Isije ikawa ndio wewe umeweka picha ya putin na kusema ni peace maker kule US darajani hahahah