JamiiForums wakitoa ofa ya kumpa ban mtu mmoja, utamban nani?

JamiiForums wakitoa ofa ya kumpa ban mtu mmoja, utamban nani?

Enzi zile utani utani huu tukampoteza MTU alikua mjinga kuliko hao wote mliowataja akina Lizaboni alikua akijiita @zubedayo mchuzi na rafiki yake Malaria Sugu hahahahahaha hawapo tena
 
Huwezi amini tangu jana naumiza kichwa nimtaje nan wa kupewa BAN nimekosa[emoji1] [emoji23]
Kama itakuwa na umuhimu zaidi wa mtu mmoja Lazima apigwe ban nitajitaja mimi mwenyewe, sababu nauona umuhimu wa kila mtu katika nafasi yake 'peace n lov'
Isije ikawa ndio wewe umeweka picha ya putin na kusema ni peace maker kule US darajani hahahah
 
nitaban mamods woooote,msonyoooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom