Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Charii una kiherehere[emoji90] [emoji90] [emoji13]Una wiki tu humu unataka jf iwe km whtsap
Utaki voice note?
Una sauti mbaya nini?
Sauti labda zisitoke real ziwe zimepigwa editing mfano za wanyama na ndege wanaweza kushawishikivipi baharia sijakumanya mwanangu?
Blaza Alosto asa kwanini nikubaliane na wewe?kwa nini unanipinga asa sister joh?
Sasa kani utakuwa unalazimishwa kufanya ivo au?Tumia akili kidogo mtoa mada, wengi tunatumia ID fake ili kuwa huru ktk kutoa maoni, sasa wakiruhusu kuchat kwa sauti huoni kuwa tutakufahamu vzr? Sauti yako ni tofaut na ya watu wote
Sauti labda zisitoke real ziwe zimepigwa editing mfano za wanyama na ndege wanaweza kushawishi
Unataka niikubali tu?upungufu wa idea yangu ni nini?