Jamiiforums waweke live Voice Note kwenye kuchangia mada.

Jamiiforums waweke live Voice Note kwenye kuchangia mada.

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
366
Reaction score
352
Inabidi uongozi wa jamii forums waongeze kipengele cha voice note kama wasapu.
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Heading yako nikajua tayari wapo katika process hizo,kumbe ni idea yako...

Mi naipinga io idea..tena vikali
Utaki voice note?
Una sauti mbaya nini?
 
Utaki voice note?
Una sauti mbaya nini?

Asa unadhani sababu nyingine itakuwa ni ipi labda?
Honestly nna sauti mbaya balaa

Ila sio sababu kubwa manake hiyo voice note si itakuwa ni maamuzi tu kuitumia ama kuacha
 
Asa unadhani sababu nyingine itakuwa ni ipi labda?
Honestly nna sauti mbaya balaa

Ila sio sababu kubwa manake hiyo voice note si itakuwa ni maamuzi tu kuitumia ama kuacha
kwa nini unanipinga asa sister joh?
 
Tumia akili kidogo mtoa mada, wengi tunatumia ID fake ili kuwa huru ktk kutoa maoni, sasa wakiruhusu kuchat kwa sauti huoni kuwa tutakufahamu vzr? Sauti yako ni tofaut na ya watu wote
 
Tumia akili kidogo mtoa mada, wengi tunatumia ID fake ili kuwa huru ktk kutoa maoni, sasa wakiruhusu kuchat kwa sauti huoni kuwa tutakufahamu vzr? Sauti yako ni tofaut na ya watu wote
Sasa kani utakuwa unalazimishwa kufanya ivo au?
Apo ni uamuzi wako askari ukiona uchangie kwa VN magoli ukiona uchangie kwa kuandika nayo kamshange tu.
Sauti labda zisitoke real ziwe zimepigwa editing mfano za wanyama na ndege wanaweza kushawishi
 
Wachangiaji watapungua kupatikana kwa sauti yako rahisi sanakukupata ulipo kwa mtazamo wangu mfinyu haifai
 
Back
Top Bottom