kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Lakn sauti ya Chakubanga inafahamika [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nitapenda kusikia sauti ya rafiki-Mama Sabrina pia!Siku nikiwa na mapovu nitakuwa nawatukana wanaoniudhiii hehehehe yaan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wa kutukanwa ni akina nani rafiki?....sikuwa hewani for a while inaonekana kuna makubwa yalitokea!!
Wala hakuna kitu rafiki nasemea mfano tu,,ulizidiwa na chura rafiki?Hao wa kutukanwa ni akina nani rafiki?....sikuwa hewani for a while inaonekana kuna makubwa yalitokea!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hakuna kitu rafiki nasemea mfano tu,,ulizidiwa na chura rafiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo rafiki,Wewe mbona ukifichwa na Doctor mwaka huwa hatutii neno??!!