JamiiForums website inapendeza sana na fire bubbles za leo.

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
1,771
Reaction score
5,087
Happy New year family,
Japo nimechelewa kuingia kwenye website yangu pendwa ya JamiiForums leo nilivokutana nazo zilinivutia sana na zimenifanya niingie kila muda,

Kudos kwa team nzima na technicians kwa ujumla, kazi yenu ni nzuri na inapendeza,
Ningeomba kama mlipanga zikae siku moja basi iwe wiki na kama mlipanga zikae ndani ya wiki zikae January nzima.

Nje ya mada,

Nipende kuwatakia wana JF wote 2024 yenye kuendelea kuhabarishana, kuelimishana na kufurahishana,
Huwa napenda sana comments za jf, zinatoa stress na zinafurahisha sana.
Mungu awape afya na nguvu za kuendelea kujenga JamiiForums ili tufike mbali na hata Jf iende kimataifa.

Happy New year once again.
 
Ila waturudishie sura zetu, wengine imani zetu na masanamu ni vitu viwili tofauti
 
Honestly mimi kama yananikata hivi, yananivurugia flani. Ila sio kesi
 
Mtuletee na jukwaa la porno aisee mkifanya hvy haki amungu mtakuwa na watumiaj weng dunia nzima afu weken na kakipengele ka vidio fupifup kama tiktoka aisee noma pia weken na kama whatsapu hv vidio call wewee noma zaid afu weken kama tinder hv yaan mtu akitaka demu anaenda kwenye jukwaa la uchi uchi anapata jaman mbona utakuwa mtandao wa dunia pia weken mambo yaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom