proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
mke wangu unachepuka siku hizi sio kwa hizo avatar mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mke wangu unachepuka siku hizi sio kwa hizo avatar mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]
🤣🤣Am sorry ba watotomke wangu unachepuka siku hizi sio kwa hizo avatar mpya
Aya ya 9 na hitimisho lako ndipo alipo mwanamke sahihi(akizingatia)Kila kheri kwako na mmeo mtarajiwa."Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana."
MITHALI 18:22.
Wapendwa nilitaka nipotee kimya kimya, ila kwa namna hii ID yangu ilikaribishwa kwa upendo na kwa upendo nilionao kwa marafiki na ndugu zangu zangu niliojipatia hapa JF nimeona sio ubinadamu nikaitelekeza hii ID bila kuwaaga halafu niwaache wapendwa wangu wakijiukiza Clepatina kapatwa na nini mbona kapotea jukwaani.
Wapendwa, Mungu akitoa kibali November ninaolewa na mchumba niliyempatia hapa JF.🤣❤️.
Huyu jamaa hajanikuta single. Alinikuta nikiwa kwenye uhusiano na jamaa ambae hata hapa jukwaani nishawahi kumtaja kama Mgweno.
Kwa huyu mgweno ndiko moyo wangu uliko. Nilimpenda sio kwa moyo wangu wote bali kwa vyote vilivyotumika kuniumba. Nilimpenda sana huyu mwanaume kiasi cha kuwaona wanaume wengine wote walionitongoza kama wachumba tu🤣.
Baadae nikagundua ninampenda Mgweno zaidi ya anavyonipenda na nikawa mtu wa kulalamika kila siku.
Hata hivyo Mgweno ndio aliyesababisha huyu shemeji yenu mpya atangaze ndoa fasta fasta.
Ni hivi,wakati nakutana na Mgweno nilikua na stress sanaa kiasi kwamba nilikua naonekana kama nina mara mbili ya umri wangu. Nilikua nimechoka sana. Nilikua kibibi🤣 lakini mahaba na faraja alizonipa Mgweno zikarudisha peace of mind na stress zikaisha na Clepatina nikawa pisi kali tena🤣.
Amini usiamini, mwanamke akipendwa na mwanaume anayempenda uzuri wake unarudi🤣. Ndio maana mtu ukiwa single hufatwi ila ukipata tu wa kukupenda utashangaa kila mwanaume anakutaka🤣.
Sasa baada ya kuona Mgweno haeleweki/kabadilika nikapambania penzi haijasaidia, ndio kajitokeza huyu shemeji yenu mpya na japo hatuna muda mrefu na siwezi kusema namjua vizuri ila nafsini mwangu nahisi amani juu yake.
Kwa hatua alizochukua na gharama alizoingia juu yangu nina imani yuko serious katika kutaka kunioa.
Yeye na familia yake yote ni walokole kama mimi na ninajihisi salama kuwa mikononi mwa mwanaume amchae Mungu.
Ndugu zangu, mwanaume Mcha Mungu, msomi, mwenye ofisi zake kubwa kubwa, handsome, mpole ila mkali kwenye upuuzi, asiyependa wanawake wengi na mwenye mapenzi kama kapewa limbwata, hatoki kokote zaidi ya Mbinguni kwa baba Mungu, Mungu wa ishara na miujiza. Mgweno anisamehe ila naamini huyu ndie niliumbwa toka ubavuni mwake❤️.
Hii itakua ni post yangu ya mwisho hapa. Kwa sasa najikita zaidi kusoma biblia kama alivyoniomba mume wangu mtarajiwa na pia kutumia free time yangu kujifunza kupika. Sijui kupika ndugu zangu😭 na shemu wenu kasema kutojua kwangu kupika ni tatizo na mpaka siku ananioa niwe nimeshajua kupika.
Najua ndoa zina changamoto, najua mume wangu mtarajiwa atakuwa na madhaifu yake, najua kuna siku za kulia na siku za kucheka najua kuna siku tutapata na kuna siku tutakosa najua kuna mengi mazuri na mabaya yatajitokeza ila hata itokee nini kamwe sitafanya yafuatayo;
1) Sitamcheat hata akipoteza dushe yake.
2) Sitamdharau hata akikosa uwezo wa kunipa jero.
3) Kamwe sitajiona nina akili kumshinda.
4) Kamwe sitapaza sauti yangu ninapoongea nae.
5) Kamwe sitonyanyasa watoto wake ambao mama yao amefariki, kwani tayari nawapenda na wao wananipenda kama nimewazaa mimi.
Kwa mnaonipenda naombeni mniage kwa neno zuri la ushauri.
Joannah Half american Gily
I CAME, I SAW, I CONQUERED.
Hawa wachoyo sana na mbususu zao sijui huko kaburini wataenda nazoHahhaah sas si watubless tu Watakachokutana nacho baad ya hpo wataamua sasa km Wanamalizia dakka Tisini au Mpka Matuta.
rudisha ile ya katoto sii itaki hii[emoji1787][emoji1787]Am sorry ba watoto
Una umri gani?Sio muda mrefu ila unatosha.
He loves me[emoji120]
Jiongeze ...hii id mpya ya kuzugiaJoined april 8 ndani ya miezi miwili umepata na mtu wa kukuoa kabisa humu jf.Daah dada mnunulie mbuzi mganga wako.
Au una ID ya zamani?
Jf nyokoo[emoji23][emoji13]View attachment 2643408
وينيمطوينثنيوطوطوسوسو'ىمم
[emoji23][emoji23][emoji13][emoji13] nyieeeeeeeKuna mawili.
Wewe ni ID ya kike ila Muhusika wa ID ni yule alokuanzishia Uzi ( Me ).
Nakam wee kweli ni Ke, basi Kabla ya mwezi huo wa November mtakua mmeshaachana kitambooooo sanaaa Kwa sababu Mubusika atakua keshaichapa Mbususu yako.!!.
Maneno haya, yapige screenshot, kayaprint, uyafiche chini ya godoro !!.
November tukutane !!!
@Analyse hana hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13]Dah sijui mwamba gani huyo Katia sound!sio wewe kweli apostle?
Thubutuuuuuu[emoji38][emoji38][emoji13][emoji13]Wakuu,
Mtoa mada kaiheshimisha sana jf
Suala la kupatikana kwa ndoa humu Ni mafanikio na kujivunia Sana wanajf[emoji4]
Niache,afu nilishakuacha muda nipo na mmasai sahivi😋rudisha ile ya katoto sii itaki hii
Mara paa, anakuta anazo mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]kutest mitambo ni jambo la muhimu sana jamani kuna wanawake uko chini au ngoja niishie apo
Hela ya kumfanya ale ashibe, na aongeze kitambi ninayo 🙈🙈@Analyse hana hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13]
Dada kasema mume wake tajiri
🤣🤣Mdogo wangu ni mlokole,Bora akae mbali na wahuni Kama nyieHela ipo, sema mdogo wako kamchagua mlokole, sisi wengine tumeonekana wahuni tuna mapepo 😅😅