JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Ni mara chache sana huwa najifunza vitu kwenye jukwaa la mahusiano JF ni mara chache mno, na leo at least nimepata kitu kipya, i hate to say this!
 
Aya ya 9 na hitimisho lako ndipo alipo mwanamke sahihi(akizingatia)Kila kheri kwako na mmeo mtarajiwa.
 
Kila ubongo wangu unaponifungulia huu mwandiko ni wa ID gani kongwe hapa, mara tena unajifunga[emoji21][emoji21]

Ngoja nipekeche kichwa tena[emoji848][emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji13][emoji13] nyieeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…