Amezingua mdogo wako, na penzi lake la wiki mbili. Sisi tuna mzoom tu 😅🤣🤣Mdogo wangu ni mlokole,Bora akae mbali na wahuni Kama nyie
Watu wanajua kumpenda bwana,sio watu mnataka kutest mitambo miaka 6 ndio mtangaze ndoaAmezingua mdogo wako, na penzi lake la wiki mbili. Sisi tuna mzoom tu 😅
Lazima mitambo itestiwe, Kisha ndio maamuzi yafatie. Siunaona mdogo wako hajui kupika, sasa asipopewa muda wa kujifunza, nani atapika ndani ya nyumba?Watu wanajua kumpenda bwana,sio watu mnataka kutest mitambo miaka 6 ndio mtangaze ndoa
Kwani unaona mke au mpishi?😅😅Lazima mitambo itestiwe, Kisha ndio maamuzi yafatie. Siunaona mdogo wako hajui kupika, sasa asipopewa muda wa kujifunza, nani atapika ndani ya nyumba?
Harusi tunayo hatuna
Tusamehe sisi lonely pipoMlokole wa jamii forum🤣.
My boss🤣.
Mke lazima ajue yote, la sivyo huyo ni mwanaume na hafai kuolewa.Kwani unaona mke au mpishi?😅😅
Hongereni sana, japo ni chini ya miezi miwiliNi zaid ya hapo
Aposto fanya jamboHongereni sana, japo ni chini ya miezi miwili