JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Naamini umechagua fungu jema hapo kwenye kusoma neno ni muhimu sana kila la kheri epuka kumkosea mwenyez Mungu
 
Leo ni siku ya ajabu sana nimekoswa koswa na gari nikawaza hivi huyu shetani tumemalizana? nkmerudi nyumbani nakutana na hii habari. My heart just broke into pieces😢

My heart broke into pieces not because you found love, No. I am happy for you Clepatina. I am very happy you deserve it. I am sad because you want to leave us here, how could you say that so easily?😔

You come in our lives and you make a difference and now you wanna disappear. How I thought you aren't capable of love🤐
 
Atarudi hapa usipaniki.....huyu wetu mbona🤣🤣🤣🤣
 
Marefu na mafupi yote yana ncha, mtaachana tu.
 
Huu mwaka hashi kabla hujaja na thread yakulialia, sikutabirii mabaya ila kuwa na mpenzi kabla/nje ya ndoa ni uzinzi sawa na kununua Malaya au kudanga. Na uzinzi haujawahi kumuacha mtu sallama.
Nipo palee nimesimama
Kwa nini umamuombea mabaya mwanadamu mwenzako. Huwezi kusema Eh Mola naomba mabaya yampishe mpaka umtabirie mabaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…