JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Na kapicha ka six packs za shemela ukatupia!
Hongera mwaya. Love is a beautiful thing, all the best. Fukia makaburi ya wagweno na usiyakumbuke tena, chapa lapa, pendwa upendeke. Halafu wanaume wanaovaa mashati ya vitenge huwa wanajua kupenda kweli kweli!
 
Kuna jamaa humu alisema jana kuwa inawezekana JF ina memba wa ukweli ambao hawazidi hata 10! Ndiyo maana ukiingia mtaani hakuna anayeifahamu JF. Imejaza mafyekero tu mtu ana akaunti hata 50 😁
Kabisa
 
Na kapicha ka six packs za shemela ukatupia!
Hongera mwaya. Love is a beautiful thing, all the best. Fukia makaburi ya wagweno na usiyakumbuke tena, chapa lapa, pendwa upendeke. Halafu wanaume wanaovaa mashati ya vitenge huwa wanajua kupenda kweli kweli!
Asante.
Love is beautiful indeed.
Amina🙏
 
I'm convinced there is something fishy going on...

Wewe ni member wa muda mrefu wa JF kwaiyo hii ID unayotumia sasahivi ni ya mchongo kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe...

Parody wote wana sifa zinazofanana..mojawapo ni kuweka picha za mademu wenye shape nzuri katika dp zao.. lengo linajulikana hakuna haja ya kulizungumzia!

Threads zako zote ulizoanzisha haraka haraka, na namna ulivyojitambulisha wewe na mambo yaliyokukuta katika maisha yako.. hii story yako ya ndoa tarajiwa ya ghafla ghafla ina % chache sana ya kuwa kweli.. otherwise ni watu tofauti tofauti huwa wanatumia ID yako hii kuanzisha uzi.. dots hazi connect!

All in all una uandishi mzuri nakupa maua yako [emoji257][emoji253][emoji272] ila jitahidi kupangilia mada (threads) katika mtiririko ambao hautasanua watu kuwa wewe ni muongo mzuri (good liar).

Nawasilisha.
Im too inlove to argue mkuu🙏.
Let say you are right so we can all be happy!
 
From Church wih God's Love.
 
Attachments

  • Screenshot_20230604-080712.jpg
    Screenshot_20230604-080712.jpg
    30 KB · Views: 5
Back
Top Bottom