JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Mei 16 na 17 2024, JamiiForums iliendesha mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Mikoa pamoja na Maafisa wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) yakilenga kuwajengea Uwezo katika nyanja mbalimbali ikiwemo Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Usalama Mtandaoni
Pia, mafunzo hayo yalihusisha namna ya Utengenezaji Maudhui ya Kimkakati Mtandaoni. Mafunzo haya ni muendelezo wa ushirikiano baina ya TAKUKURU na JF pamoja na kuongeza ufanisi katika ushirikishwaji wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa na Ubadhirifu wa Rasilimali za Umma.