mack255
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 551
- 1,230
Bado mjui kapongozewa Ni nini, mnashabikia tuAmempongeza Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums kwa kuwakusany
Wale wenye AdSense account na e-commerce jiandaeni Kodi hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mjui kapongozewa Ni nini, mnashabikia tuAmempongeza Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums kwa kuwakusany
Mchambuzi nguli mbobezi GENTAMYCINE asikosekaneKatiba ibadilishwe Wabunge 10 wa Kuteuliwa watoke JF
Niliendeleza tu pale alipoishia Mwandishi nguli Pasco. Na kuhusu uteuzi, hapana! Sina sifa.Mbona unawatag sana viongozi na ni wewe tu kwenye uzi huu ndio umetawala au unataka teuzi za kulamba asali ?
Hongera sana Maxence Melo...Mchango wa JamiiForums watambulika bungeni, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba asema anaipongeza JamiiForums kwa kuweza kufanya uratibu wa mchakato wa mazungumzo yahusuyo mambo ya digitali.
Aidha amempongeza Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums kwa kuwakusanya Wadau wa kiditali ili waweze kujadili na Serikali kuhusu masuala mbalimbali ya kidigitali.
View attachment 2260824
View attachment 2260831
Achana na huyo anapinga kila kitu.Amemshukuru sana Max...nadhani alikuwa real
Sasa vijana wawache matusi ya ovyo na kuita wenzao wanaowahoji 'wajinga, wapumbavu, zezeta.....'
Rais awe Mwenyewe Maxence Melo na Waziri Mikuu uwe Wewe Mwenyewe.Mchambuzi nguli mbobezi GENTAMYCINE asikosekane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwigulu Nchemba, Dr. Uendelee kutufagilia hivyo hivyo. Wengine tuko hapa nje mjengoni tumepaki bodaboda zetu tayari kwa kuchukua abiria.
Ila tukiwa humu jukwaani, wote tunamiliki magari! Tunamiliki pisikali, tunaishi Kisasa, Ilazo na Uzunguni! Wote tumeshafika Oman na kupiga picha na Sultan Barghash! [emoji16]
This is jamii forums bhana [emoji3062]
Nadhani kama kuna 'post' yenye Akili katika huu Uzi wote ni hii yako Mkuu kwani umemaliza kila Kitu na tena tukupe 'Likes' hata 'Trillion' kabisa. Wenye Akili tumekuelewa vyema na Kukubaliana nawe 100% zote.Mwigulu awe real? Kesi dhidi ya Maxence zilifunguliwa Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Nani? Acha kumwamini Huyo Mnafiki, anaona Mello habadili msimamo na watu wanampenda anajifanya kumpongeza ili aungwe mkono JF.
Wampe Tuzo Mtu ambaye Wanampenda na wanamchekea Kinafiki lakini Moyoni Wanamchukia hakuna Mfano kwakuwa Mtandao wake Unaibua mengi wasiyoyataka na Kuwaumbua pia?Kama wanaikubali kazi ya Maxence Melo wampe tuzo.
Umeambiwa hadi hii ya sasa inampenda? Amini Watu wote ila siyo Serikali na Mwanasiasa.Serikali ya lile chizi ilimfanya huyu jamaa kuwa adui. Alitaka hadi kumfunga
Hongera kwake
GoodNi baada ya Jamii Forum kutoa mchango mkubwa kwenye mijadala ya kujenga uchumi wa nchi
Source Star tv bungeni
NI sawa maana hoja zetu ni nzito snMchango wa JamiiForums watambulika bungeni, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba asema anaipongeza JamiiForums kwa kuweza kufanya uratibu wa mchakato wa mazungumzo yahusuyo mambo ya digitali.
Aidha amempongeza Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums kwa kuwakusanya Wadau wa kiditali ili waweze kujadili na Serikali kuhusu masuala mbalimbali ya kidigitali.
View attachment 2260824
View attachment 2260831
Mwigulu ni member wa JFNimemsikia kaipongeza Tena kwa Mara ya pili jf, ama hakika jf ni baba lao[emoji2935]
Kwani mtu akithamini kazi uliyofanya ndiyo amekusifia? Haijalishi kama anakupenda au la lakini angalau amethamini ule muda uliotumia kuifanya ile kazi.Kisa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na majizi ya kura? Kimsingi hatuoni sifa yoyote ya hili jukwaa kusifiwa na watu wasio na uadilifu wowote.