TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

jaman kwetu ROMBO,KILIMANJARO MSISAHAUUUUUUUUUUUUU JF!
 
Ni wap sisi watuiaji wa jamiii forum tuahusika moja kwa moja katika hili . ?
Au ni program ya JF nje ya JF Blog.
 
Hongera sana Bw. Max kwa ubunifu na uzalendo.

Maendeleo na ustawi wananchi na Taifa letu havina rangi, itikadi wala kabila.
 
Ni wap sisi watuiaji wa jamiii forum tuahusika moja kwa moja katika hili . ?
Au ni program ya JF nje ya JF Blog.
Hili nalo neno wabuni kitu kuhusu member WA jf maana tupo Kama familia wengine wapo since jf inaanza
 
Safi sana nafikiri hii itapanua uelewa wa wananchi juu ya majukumu ya viongozi wao na kuwa rahisi kufatilia utekelezaji wa hayo majukumu. Pia wagombea wamekuwa wakiahidi ahadi lukuki lakini wananchi wamekuwa wakishindwa kupambanua zipi ni ahadi ambazo kweli zipo kwenye majukumu ya mgombea na zipi ni ahadi hewa yaani "ipi pumba na ipi mchele"..... Idea hii ya "Tushirikishane" Itasaidia kwenye hilo pia. Lakini kubwa kabisa ni kuwaweka Karibu viongozi na wanchi wao hasa hasa kwenye mawasiliano ya mara kwa mara. Hii itasaidia katika kuweka msisitizo na kuwabana hawa viongozi katika kusemea kero zao serikalini. Good idea big up JamiiForums for this incredible Idea.
 
Ni wap sisi watuiaji wa jamiii forum tuahusika moja kwa moja katika hili . ?
Au ni program ya JF nje ya JF Blog.
wazo zuri sana nimefikiri sana kuhusu hili...Bro. Max atusaidie hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…