Jamiiforums

Jamiiforums

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Habari ndugu zangu. Mimi ni mgeni toka Namanga naomba kujua namna ya kufanya ili kuweka posts hewani na kusomwa na wote. Naomba msaada wenu please! Nakutanaga na matukio mbalimbali za uhakika lakini nashindwa kuzipost na kurusha picha za matukio. Pili, nitajuaje kuwa mtu amecomment kwenye post yangu?
 
karibu jf
 
Nashukuru kwa makaribisho yenu ila mnisaidie kujua basi namna ya kupost jambo ili lisomwe na watu wote maana hata sijui.
 
Back
Top Bottom