GE2025 Jamillah Hassan amechukua rasmi fomu ya kuomba ubunge viti maalum mkoa wa Morogoro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Ninayo heshima kuwataarifu kuwa Mimi Jamillah Hassan Miyonga leo tar 30/06/2025 nimechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa kwa chama changu CCM kutia nia UBUNGE VITI MAALUM mkoa wa Morogoro! Nikiwa mwana CCM wa kweli, mwenye historia ya kujituma, kufanya kazi kwa weledi na kusimamia haki za wanawake, dhamira yangu ni kuendeleza kasi ya maendeleo ya wanawake wa Morogoro! Nikipata nafasi nafasi ya kuteuliwa na Chama changu nitaendelea kusimamia misingi ya CCM ya kuwatumikia wanawake wa Morogoro kwa moyo wa Kizalendo! Na kuhakikisha kila mwanamke anaguswa na maendeleo. Nipo Tayari kupeleka sauti za Wanawake Bungeni, Tujenge pamoja Morogoro yetu yenye Maendeleo usawa na uadilifu! Mungu awabariki" - Jamillah Miyonga.
1751286786001.jpeg
 
View attachment 3389247
Limshangazi la wapi tena hili?
Fomu zinachukuliwa kama njugu safari hii!
 
Back
Top Bottom