Jamvi la wanawake: Nini kilitokea kabla au baada ya tendo ukikumbuka unabaki kucheka tu

Kuna mmoja ivi kwanza kaanza Kama kaja kulima akati mdau tupo Kwa starehe mtu baadala ufurahie tendo unamsusia na mdingo wako dadeki wengine hatupendi purukushani kwenye mambo serious Kama haya ya tendo.

My men kua romantic m sio mkulima mwenzio jaman πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ™ŒπŸΎ mwanaume handsome ila unakuja Kama unabaka vile.
 
Kuna jamaa kapanda ndege kutoka states alikua msoldier nikasema bwana nimepata eh mambo yasiwe mengi Kuna wanaume maumbile yenu yanatisha dadeki sitamsahau πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ™ŒπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…