Jamvi la wanawake: Nini kilitokea kabla au baada ya tendo ukikumbuka unabaki kucheka tu

Jamvi la wanawake: Nini kilitokea kabla au baada ya tendo ukikumbuka unabaki kucheka tu

Wewe bila shaka ni kidume wewe. Sababu hakuna mwanamke anaweza kujiita jina la ajabu kama lako hata kama ni fake. Bila shaka una umri mdogo na unajaribu kufarm comments za wanawake au umepotea njia.
 
"Busara Nyingi Kama Nyerere Au Mwinyi,Nafika Kilele Ila Sipigi Kelele Kama Ninyi"
 
Nakumbuka kuna mkaka alijisifia, maneno mengi kabla ya mechi, baada ya kumsusia mbususu dakika tano nyingi kamaliza, wakati anamwaga tui yule kaka alipiga yowe na kuanza kulia machozi kama yote mpaka nikaogopa 🤣🤣🤣🤣.

Alivyotulia akaniambia huwa anashindwa kujizuia mwili wake akiwa kwenye hiyo stage. Baadaye nilimzoea na vituko zaidi nilijionea, baada ya mwaka alimtia mimba msichana mwingine tukaachana.

iIa kila nikikumbuka ile siku ya kwanza kudinyana nabaki kucheka tu!

Lete chako!
We kweli JISHANGAZI
 
Back
Top Bottom