Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Ladies njooni tubadilishane uzoefu kidogo, wewe nini kimeshawahi kukukata au kukupunguzia msisimko? (kwenye mahusiano yako ya sasa au yaliyopita)
Baadhi ya mambo ambayo nimekua nayasikia mara kwa mara ni:-
nakwede97 ⋆ Aaliyyah
Leejay49 ⋆ Atoto
Sister Abigail ⋆ Ms R
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio
ledada ⋆ Carleen
Numbisa ⋆ Mama Mwana
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
ephen_ ⋆ Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt
Baadhi ya mambo ambayo nimekua nayasikia mara kwa mara ni:-
- Mwanaume kutokua mbunifu, kila siku style ile ile, kutojali kama umeridhika. Akifika anaiweka tu, hakuna maandalizi, hajui hata kama amekuchubua etc.
- Tabia za hovyo kama kuchepuka, ukali au hasira zilizopitiliza, dharau, na kupenda kulalamika kwenye kila kitu.
- Kukosa mapenzi nje ya chumbani, mwanaume hajali mahitaji au hisia mpaka atake mbususu. Mawasiliano hafifu, hakusikilizi, anakubeza au kukupuuza ukimweleza mambo/matatizo yako, etc.
- Kwa wanandoa; mume ambaye ambaye hajali majukumu ya kifamilia, kiuchumi, kimalezi n.k unakuta mwanamke anafanya kila kitu peke yake kama hujaolewa (hii ni tofauti kama hamuishi mji mmoja).
- Mwanaume mchafu, harufu mbaya ya mwili au mdomo, au kuvaa na kurudia nguo chafu.
- Mwanaume kupoteza mvuto, uzito wa kupindukia, kunywa pombe kupitiliza, kutojipenda, na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
- Mwanaume bahili, hahudumii, kila siku hana hela ila anataka apewe chini kila akiiomba.
nakwede97 ⋆ Aaliyyah
Leejay49 ⋆ Atoto
Sister Abigail ⋆ Ms R
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio
ledada ⋆ Carleen
Numbisa ⋆ Mama Mwana
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
ephen_ ⋆ Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt