JAMVI LA WANAWAKE: Nini kinakufanya upoteze hamu au msisimko wa kukutana na mweza wako kimwili?

JAMVI LA WANAWAKE: Nini kinakufanya upoteze hamu au msisimko wa kukutana na mweza wako kimwili?

Point ya tatu ya kukosa mapenzi nje ya chumbani aisee hii inakata sana ,na nikionaga hivo tu najua ni red flag nakimbia mana hapo sipendwi natumiwa..
Kabisa, mtu anayekupenda anakujali, siyo kutumia mwili wako after that hana time na wewe.
 
Harufu jamani harufuuuu
Hii ni kwa wote mwanaume na mwanamke
Hakikisha unaoga vizuri safisha kwapa, sugua mstari wa ikweta huo
Kwa wanawake sugua kwapa,sugua chini ya manyonyo

Harufu inakata stimu kwenye sex
 
Mmejaa ubinafsi tu hamna kitu Cha maana!!mnataka Kila saa tuwaze matakwa yenu wakati hakuna Cha maana mnacho offer zaidi ya huo uke kwetu!!

Bora tuendelee kujipenda wenyewe coz nimejifunza ukiona mwanamke anakupa penzi ujue malengo yake hayajatimia na anakutegemea!siku akitimiza malengo yake tu anaanza uchuro plus visirani!!
Kabisa, mtu anayekupenda anakujali, siyo kutumia mwili wako after that hana time na wewe.
 
Kama hana hela akinigusa ata mwili hausisimki

😹😁
Anakugusaje kwanza 😅
giphy.gif
 
Back
Top Bottom