Jamvi la wanawake: Njooni tugawane ujuzi wa kuwapagawisha wiki hii

Jamvi la wanawake: Njooni tugawane ujuzi wa kuwapagawisha wiki hii

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume.

************************
Muhimu sana kuzingatia
Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya tarehe 28, 29, 30 au 31, basi mwishoni mwa wiki hii ikijumuisha ijumaa mpaka jumapili ni siku zako za hatari, tumia kinga au chukua tahadhari usishike ujauzito.

************************

Kwa uzoefu wangu, haya mambo matano hayajawahi kuniangusha.

Kutompimia mbususu
Haihitaji maelezo mengi, mpe anavyopenda, usimbanie wala usimpimie mpaka aseme amechoka yeye. Kama kuna vitu kilingeni anapenda zaidi, basi mfanyie. Kwa mfano, anapenda kukupa mic 🎤 utume salamu, weekend hii tuma za ukoo wao na wenu wote mpaka aseme yeye basi imetosha.

Usafi
  1. Nyoa zile sehemu muhimu, kama hajakwambia anapenda misitu tafadhali msafishie pawe peupe kama paji la uso, akipita asikwame au asikusababishie wewe michubuko.
  2. Usafi wa kinywa, mwanamke kunuka mdomo ni aibu. Piga mswaki usiku kabla ya kulala na asubuhi. Ukila vitu vya sukari na ukimaliza kula, sukutua mdomo na maji mabaki ya chakula yasibaki mdomoni.
  3. Kichwani, osha nywele zako au wigi lako, usiwe unatoa harufu zisizoeleweka.
  4. Safisha masikio, siyo mtu anaingiza ulimi anakutana na nta za uchungu, pia usisahau kukata au kutengeneza kucha usimparue mwenzako.
Kunukia
  1. Kama hutumii marashi - acha ujinga (unless bebi wako hapendi). Tafuta marashi yanayonukia vizuri, hakikisha mkikutana weekend hii umefanya step zote za usafi halafu ndiyo ujipulizie pafyumu au kujifukiza udi.
  2. Ukiwa unajiwekea marashi yako hakikisha husahau sehemu muhimu kama mapajani, nyuma ya magoti, shingoni na mikononi.
  3. Ukitaka pafyumu yako isiishe haraka, ichanganye na lotion halafu upake mwilini. Lakini pia kuna mafuta na lotion ambazo tayari zinanukia vizuri kama lotion za EOS au Vaseline cocoa butter (ongezeeni na nyie mnazozifahamu)
Nguvu ya ulimi 

Maandalizi yanayozidi yote ni unyenyekevu na lugha tamu. Kwa wengine hii ngumu kumeza, ila wenzetu hawa wanapenda tujishushe, umuongeleshe kwa utaratibu na upole, umsifie n.k.
Kuelekea weekend hii (na siku nyingine zote) we mfanye ajisikie yeye ndo kidume pekee, wengine hawajawahi kutokea.

Kajizawadi
Siyo wewe tu ndiyo upewe zawadi, na yeye msapraizi na chochote kile. Siyo lazima iwe kitu cha kununua, kama anapenda kula basi mpikie chakula chake pendwa, kama hamuishi pamoja basi mpelekee siku hiyo afurahi. Fikiria namna gani unaweza kufanya simu ya wapendanao ikawa nzuri na ya kipekee kwake yeye pia.

Haya, sisterhood leteni na nyie uzoefu wa maeneo mengine, tujifunze namna ya kuwapagawisha hawa viumbe wasio na shukrani!
 
Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume wawapende, wawape hela zaidi au wawaoe.

************************
KABLA HATUJAANZA: Muhimu sana kuzingatia
Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya tarehe 28, 29, 30 au 31, basi mwishoni mwa wiki hii ikijumuisha ijumaa mpaka jumapili ni siku zako za hatari, tumia kinga au chukua tahadhari usishike ujauzito.

************************

Kwa uzoefu wangu, haya mambo matano hayajawahi kuniangusha.

Usafi
  1. Anzia kichwani, osha nywele zako au wigi lako, usiwe unatoa harufu zisizoeleweka.
  2. Nyoa zile sehemu muhimu, kama hajakwambia anapenda misitu kama magwepande, tafadhali msafishie pawe peupe kama paji la uso, akipita asikwame au asikusababishie wewe michubuko.
  3. Safisha masikio, siyo mtu anaingiza ulimi anakutana na nta za uchungu, pia usisahau kukata au kutengeneza kucha usimparue mwenzako.
Kunukia
  1. Kama hutumii marashi - acha ujinga (unless bebi wako hapendi). Tafuta marashi yanayonukia vizuri, hakikisha mkikutana weekend hii umefanya step zote za usafi halafu ndiyo ujipulizie pafyumu au kujifukiza udi.
  2. Ukiwa unajiwekea marashi yako hakikisha husahau sehemu muhimu kama mapajani, nyuma ya magoti, shingoni na mikononi.
  3. Ukitaka pafyumu yako isiishe haraka, ichanganye na lotion halafu upake mwilini. Lakini pia kuna mafuta na lotion ambazo tayari zinanukia vizuri kama lotion za EOS au Vaseline cocoa butter (ongezeeni na nyie mnazozifahamu)

Nguvu ya ulimi 

Maandalizi yanayozidi yote ni unyenyekevu na lugha tamu. Kwa wengine hii ngumu kumeza, ila mtaka cha uvunguni, …………................. Wenzetu hawa wanapenda tujishushe, umuongeleshe kwa utaratibu na upole, umsifie n.k.
Kuelekea weekend hii (na siku nyingine zote) we mfanye ajisikie yeye ndo kidume pekee, wengine hawajawahi kutokea.

Kutompimia mbususu
Haihitaji maelezo mengi, mpe anavyopenda, usimbanie wala usimpimie mpaka aseme amechoka yeye. Kama kuna vitu kilingeni anapenda zaidi, basi mfanyie. Kwa mfano, anapenda kukupa mic utume salamu, weekend hii tuma za ukoo wao na wenu wote mpaka aseme yeye basi imetosha .

Kajizawadi
Siyo wewe tu ndiyo upewe zawadi, na yeye msapraizi na chochote kile. Siyo lazima iwe kitu cha kununua, kama anapenda kula basi mpikie chakula chake pendwa, kama hamuishi pamoja basi mpelekee siku hiyo afurahi. Fikiria namna gani unaweza kufanya simu ya wapendanao ikawa nzuri na ya kipekee kwake yeye pia.

Haya, sisterhood leteni na nyie uzoefu wa maeneo mengine, tujifunze namna ya kuwapagawisha hawa viumbe wasio na shukrani!
Embu naomba kujua kama ameingia tarehe 27 mpaka 29 hedh siku za hatar n zipi
 
Hayaa vitendea kazi hivyo hapo ready to goo
IMG_0692.jpeg
 
Back
Top Bottom