Yani kafanya siku imekuwa mbaya leo nipo kimya tu wakati nina mazawdi yake kibao natembea nayo kwenye gari!! Naenda kwake namuita nje nampa nasepa...mambo yakupangiana mzagamuo sio kabisaDaah pole mkuu, kupimiwa mbususu inakata sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kafanya siku imekuwa mbaya leo nipo kimya tu wakati nina mazawdi yake kibao natembea nayo kwenye gari!! Naenda kwake namuita nje nampa nasepa...mambo yakupangiana mzagamuo sio kabisaDaah pole mkuu, kupimiwa mbususu inakata sana!
Si amesema leo anakupa? usisusie mbususu buana 😆Yani kafanya siku imekuwa mbaya leo nipo kimya tu wakati nina mazawdi yake kibao natembea nayo kwenye gari!! Naenda kwake namuita nje nampa nasepa...mambo yakupangiana mzagamuo sio kabisa
Hii sitaki tena kwann leo!! Hii nimesusa sitafanya kwa starehe nitafanya ili yeye aridhike na mood iyo ishakata!!! Hivi kweli mtu akushike shike kakutia genye alafu anakuacha hii sio sawa kabisaSi amesema leo anakupa? usisusie mbususu buana 😆

Ngoja nimuombe mbususu Theresa49
Mmmmh kumbee mpo vzr SanaaSiku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume.
************************
Muhimu sana kuzingatia
Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya tarehe 28, 29, 30 au 31, basi mwishoni mwa wiki hii ikijumuisha ijumaa mpaka jumapili ni siku zako za hatari, tumia kinga au chukua tahadhari usishike ujauzito.
************************
Kwa uzoefu wangu, haya mambo matano hayajawahi kuniangusha.
Kutompimia mbususu
Haihitaji maelezo mengi, mpe anavyopenda, usimbanie wala usimpimie mpaka aseme amechoka yeye. Kama kuna vitu kilingeni anapenda zaidi, basi mfanyie. Kwa mfano, anapenda kukupa mic 🎤 utume salamu, weekend hii tuma za ukoo wao na wenu wote mpaka aseme yeye basi imetosha.
Usafi
Kunukia
- Nyoa zile sehemu muhimu, kama hajakwambia anapenda misitu tafadhali msafishie pawe peupe kama paji la uso, akipita asikwame au asikusababishie wewe michubuko.
- Usafi wa kinywa, mwanamke kunuka mdomo ni aibu. Piga mswaki usiku kabla ya kulala na asubuhi. Ukila vitu vya sukari na ukimaliza kula, sukutua mdomo na maji mabaki ya chakula yasibaki mdomoni.
- Kichwani, osha nywele zako au wigi lako, usiwe unatoa harufu zisizoeleweka.
- Safisha masikio, siyo mtu anaingiza ulimi anakutana na nta za uchungu, pia usisahau kukata au kutengeneza kucha usimparue mwenzako.
Nguvu ya ulimi
- Kama hutumii marashi - acha ujinga (unless bebi wako hapendi). Tafuta marashi yanayonukia vizuri, hakikisha mkikutana weekend hii umefanya step zote za usafi halafu ndiyo ujipulizie pafyumu au kujifukiza udi.
- Ukiwa unajiwekea marashi yako hakikisha husahau sehemu muhimu kama mapajani, nyuma ya magoti, shingoni na mikononi.
- Ukitaka pafyumu yako isiishe haraka, ichanganye na lotion halafu upake mwilini. Lakini pia kuna mafuta na lotion ambazo tayari zinanukia vizuri kama lotion za EOS au Vaseline cocoa butter (ongezeeni na nyie mnazozifahamu)
Maandalizi yanayozidi yote ni unyenyekevu na lugha tamu. Kwa wengine hii ngumu kumeza, ila wenzetu hawa wanapenda tujishushe, umuongeleshe kwa utaratibu na upole, umsifie n.k.
Kuelekea weekend hii (na siku nyingine zote) we mfanye ajisikie yeye ndo kidume pekee, wengine hawajawahi kutokea.
Kajizawadi
Siyo wewe tu ndiyo upewe zawadi, na yeye msapraizi na chochote kile. Siyo lazima iwe kitu cha kununua, kama anapenda kula basi mpikie chakula chake pendwa, kama hamuishi pamoja basi mpelekee siku hiyo afurahi. Fikiria namna gani unaweza kufanya simu ya wapendanao ikawa nzuri na ya kipekee kwake yeye pia.
Haya, sisterhood leteni na nyie uzoefu wa maeneo mengine, tujifunze namna ya kuwapagawisha hawa viumbe wasio na shukrani!