JAMVI LA WANAWAKE: Tubadilishane uzoefu kidogo

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
naskia wako na insecurities ila wanahonga sana..... Wazoefu waje kwanza waseme
upo sahihi, Pesa siyo shida zao..! Ila pale uanze kuwekewa spies wa kufuatiliwa hata ukisalimia tu mkaka wa supermarket mrefu, hapo ndiyo utatamani uteme Pesa za 'short chasis' enye umekula..!!😂😂

No offense, ila wakaka wafupi 'baadhi' yao hawajiamini kabisa, kumbe wewe mpaka umemkubali wala hakuwa amepanda kwenye stuli wakati anatema madini..!!
 
No offense, ila wakaka wafupi 'baadhi' yao hawajiamini kabisa, kumbe wewe mpaka umemkubali wala hakuwa amepanda kwenye stuli wakati anatema madini..!!
Haha nadhani shida ni kwamba wanahisi wanawake wote wanavutiwa na wanaume warefu ndio maana wanatumia nguvu kubwa sasa kufanya uendelee kubaki nae, Ndio kama hivyo kuweka pesa mbele na wivu😂
 
nilidhani nyie ni twin sisters
Af short men are romantic hamjui tu
Anaweza akawa ni sister Pia, Cause naona yuko humu kitambo ... Nadhani kipindi hiki Id yake ndio iko Active, ningemfaham zamani wakati najiunga ningeweka utofauti
 
Anaweza akawa ni sister Pia, Cause naona yuko humu kitambo ... Nadhani kipindi hiki Id yake ndio iko Active, ningemfaham zamani wakati najiunga ningeweka utofauti
<3 nice what a cuincedence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…