Jamvi la wanawake: Wewe raundi ngapi akienda zinaanza kuwa kero?

Umemaliza yote mami 😍

Ngoja niende nikamuwekee huyu mzee mwenzangu aende kazini mwepesi 🤭

 
Wanawake wa sasa hivi hawana tofauti na ma broiler yale makuku ya kisasa, unalikuta limezubaa lipo lipo tu hamu halina mvuto halina hovyo tu.
Watoto wamefukuzwa ada shuleni, madeni ya vikoba, LBL imefungwa hajatoa pesa hake, unadhani hamu itatoka wapi?

Zamani wanawake walikuwa na hamu hata kama wameshinda njaa au kashinda milimani kulima.siku nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…