1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha.
2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu!
3. "Mwabukusi, Mdude, Buberwa, Sauti ya Watanzania, ACT, CHADEMA, TEC, BAKWATA, MAIMAMU, Masheikh, Maaskofu, nk; fursa yetu nyingine ni hiyo."
4. Adui wa mwenzetu ni adui yetu kindaki ndaki; kuitika wito kumkabili vilivyo, hilo ni jukumu takatifu!
5. Tujifunze kusameheana; uadui si ndwele, haulipi na haupo u milele kwenye uadui au urafiki.
6. Tuwekeze kwenye mapambano ya pamoja, umoja ni nguvu.
7. Yaliwezekana na yakalipa kwenye UKAWA; tuwakane na kuwakemea wote: "wabinafsi na wajinga."
8. Tanzania ni kubwa kuliko vyama, viongozi na hata wafuasi.
9. Hakuna kulia lia; 23/24 tumwagike nchi nzima na zana zetu za usafi.
10. Ikimpendeza Chalamila tushirikiane ikiwamo kuandamana.
11. Katiba mpya, ulinzi, usalama wetu na hata usafi dhidi ya kipindu pindu, ni jukumu letu sote.
12. Kuandamana ni haki yetu.
IGA ni haramu; Katiba mpya ni Sasa!