Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ni golikipa namba 1 wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Slovenia.
Ni mmoja wa magolikipa hodari na mahiri kwasasa barani Ulaya kando ya Neuer, De Gea na Buffon.
Ila kutokana na kuwa anacheza kwenye klabu ya Atletico wengi hawamfatilii na hivyo kushindwa kumpa credit zake kabisa.
Ni wakati sasa wa kumtazama kwa makini nyanda huyu matata sana kwa sasa barani Ulaya.