Jan Oblak: Golikipa mahiri asiyeimbwa na wazandiki wa soka!

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Ni golikipa namba 1 wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Slovenia.

Ni mmoja wa magolikipa hodari na mahiri kwasasa barani Ulaya kando ya Neuer, De Gea na Buffon.

Ila kutokana na kuwa anacheza kwenye klabu ya Atletico wengi hawamfatilii na hivyo kushindwa kumpa credit zake kabisa.

Ni wakati sasa wa kumtazama kwa makini nyanda huyu matata sana kwa sasa barani Ulaya.
 
Yupo vzr sana huyu
 
Naunga mkono uzi, siku zote nimetamani awe mrithi wa De Gea siku akiondoka. Halafu ndio kwanza ana miaka 24.
1428274746_extras_noticia_foton_7_1.jpg
 
Ndiye yule alidakiaga Simba mwaka 2003 wakaitoa Zamalek ya misri?
 
labda hufatilii mpira Atletico imekuwa na rekodi ya kuwa na wachezaji mahiri kwa muda mrefu degea alitoka Atletco, kipa wa madrid alikuwa Atleticko kwa mkopo kabla ya kwenda Chelsea huyu kipa anafatiliwa na timu nyingi Atletco huwa wanauza na kuleta bora zaid
 
Kufatilia mpira jambo moja, kumpa mtu credit ni jambo lingine...
 
Back
Top Bottom