Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Yupo vzr sana huyuNi golikipa namba 1 wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Slovenia.
Ni mmoja wa magolikipa hodari na mahiri kwasasa barani Ulaya kando ya Neuer, De Gea na Buffon.
Ila kutokana na kuwa anacheza kwenye klabu ya Atletico wengi hawamfatilii na hivyo kushindwa kumpa credit zake kabisa.
Ni wakati sasa wa kumtazama kwa makini nyanda huyu matata sana kwa sasa barani Ulaya.
Naunga mkono uzi, siku zote nimetamani awe mrithi wa De Gea siku akiondoka. Halafu ndio kwanza ana miaka 24.
Haya tumekusikia nenda kacheze bao au draftMm namkubali Aishi Manula tu basi
Uko sahihi mkuuNa anaweza kuwa mrithi wa De Gea kama Madrid watamchukua De Gea. Ni moja kati ya makipa watano bora duniani.
Ndio huyo huyoNdiye yule alidakiaga Simba mwaka 2003 wakaitoa Zamalek ya misri?
Timu anayochezea inamnyima jina aende vilabu vitano vikubwa barani ulaya
labda hufatilii mpira Atletico imekuwa na rekodi ya kuwa na wachezaji mahiri kwa muda mrefu degea alitoka Atletco, kipa wa madrid alikuwa Atleticko kwa mkopo kabla ya kwenda Chelsea huyu kipa anafatiliwa na timu nyingi Atletco huwa wanauza na kuleta bora zaid