GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwani Yanga haijawahi kufungwa na simba hayo magoli 6 , 5 , 4 ? Au mnajitoa ufahamu?Kweli wewe ni popoma, wachezaji muhimu wa ihefu wapo benchi na wengine hawakuonekana kabisa tazama sura ya juma nyoso Kuna mengi anayajua mwamba baada yakufungwa goli la nne alikua Kama analaumu sana hiyo ilikua salamu kwenye benchi la ufundi ihefu.
Hizo goli tano njooni muifunge yanga na wydad Casablanca [emoji16]
Magoli yote yalikuwa "contested" na kipa na mabeki. Ihefu wangekuwa makini kipindi cha pili wangepata magoli baada ya kutoka kwa Inonga na kuumia kwa Mwenda maana backline ya Simba ilivunjika. Ukitaka kujua mpira wa jana ulikuwa na upinzani mkubwa angalia majeruhi kwa pande zote mbili.Mechi ya jana biashara imefanyika wala sio siri, na inaonekana jamaa wanaitaka nafasi ya 4 kwenye ligi ivyo ili waipate imebidi wafanye biashara ya nipe nikupe, tunawaachia kombe la shirikisho msonge mbele na nyinyi mtuachie point 3 muhimu za ligi kuu ili tupambanie nafasi ya 4 tuiwakilishe nchi kimataifa msimu ujao, Ni ajabu wachezaji wote wazuri eti wanawekwa benchi wanapangwa wakaa benchi!!! Sisi tuliosoma cuba tulijua kinachoendelea wakati huo likawekwa duka golini bwana kado kilichotokea ndio icho
Wanauliza kwanini Magoli yote kipindi Cha kwanza yametokana na kipa & mabeki wake kujichanganya, kuteleza ktk boxi lao.Manara katika mengine sikubaliani nae ila hili la kusema kuwa huko aliko sasa wenye Akili timamu ni Wawili tu Babaake na Mstaafu wa Msoga na waliobakia Wote ni Majuha ( Fools ) nakubaliana nae 100%.
Kwahiyo na nyie leo mkiifunga Goli nyingi Geita Gold FC tena ukizingatia Kocha wao Minziro na Msemaji wao Kivuyo si tu ni Mashabiki wenu bali pia ni Wanachama Waandamizi wa Klabu yenu tuseme kuwa nanyi mmewahonga / mlihonga?
Hovyoooooooo......!!!!!!
Wewe ni "mwandamizi" ya wale walio nje ya wale wawili, yaani Baba Haji na JK!Mechi ya jana biashara imefanyika wala sio siri, na inaonekana jamaa wanaitaka nafasi ya 4 kwenye ligi ivyo ili waipate imebidi wafanye biashara ya nipe nikupe, tunawaachia kombe la shirikisho msonge mbele na nyinyi mtuachie point 3 muhimu za ligi kuu ili tupambanie nafasi ya 4 tuiwakilishe nchi kimataifa msimu ujao, Ni ajabu wachezaji wote wazuri eti wanawekwa benchi wanapangwa wakaa benchi!!! Sisi tuliosoma cuba tulijua kinachoendelea wakati huo likawekwa duka golini bwana kado kilichotokea ndio icho
Yanga mbona tulishaifumua 6-0, 4-0, 5-1 ,wewe wa wapi wewe?Kweli wewe ni popoma, wachezaji muhimu wa ihefu wapo benchi na wengine hawakuonekana kabisa tazama sura ya juma nyoso Kuna mengi anayajua mwamba baada yakufungwa goli la nne alikua Kama analaumu sana hiyo ilikua salamu kwenye benchi la ufundi ihefu.
Hizo goli tano njooni muifunge yanga na wydad Casablanca [emoji16]
Kwa kiwango cha Simba hawezi toa hela yake Kwa ihefu. Bora akanywee maji siku ya wydad cassablanca.Manara katika mengine sikubaliani nae ila hili la kusema kuwa huko aliko sasa wenye Akili timamu ni Wawili tu Babaake na Mstaafu wa Msoga na waliobakia Wote ni Majuha ( Fools ) nakubaliana nae 100%.
Kwahiyo na nyie leo mkiifunga Goli nyingi Geita Gold FC tena ukizingatia Kocha wao Minziro na Msemaji wao Kivuyo si tu ni Mashabiki wenu bali pia ni Wanachama Waandamizi wa Klabu yenu tuseme kuwa nanyi mmewahonga / mlihonga?
Hovyoooooooo......!!!!!!