Kila weekend ( napenda sana siku ya j'pili coz hamna foleni barabarani) nawachukua mashost hao ledger plaza njiani mziki mkubwa unaona maisha ndo haya[emoji16]...yale maeneo si unajua ukiingia ndani utafikiri uko Beverly Hills, mi nakunywa wine ( 30,000) mashost windoek @Tsh 8,500...hahaahaa almanusura nifilisike mle, nikapakimbia nikarudi uswahilini na company nao ya bata nikaipiga chini, [emoji1787][emoji16][emoji16]Kipi hicho? Ulibebwa baada ya pombe kukuzidi,, au mfuko ulikata,, hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila weekend ( napenda sana siku ya j'pili coz hamna foleni barabarani) nawachukua mashost hao ledger plaza njiani mziki mkubwa unaona maisha ndo haya[emoji16]...yale maeneo si unajua ukiingia ndani utafikiri uko Beverly Hills, mi nakunywa wine ( 30,000) mashost windoek 8,500...hahaahaa almanusura nifilisike mle, nikapakimbia nikarudi uswahilini[emoji1787][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila weekend ( napenda sana siku ya j'pili coz hamna foleni barabarani) nawachukua mashost hao ledger plaza njiani mziki mkubwa unaona maisha ndo haya[emoji16]...yale maeneo si unajua ukiingia ndani utafikiri uko Beverly Hills, mi nakunywa wine ( 30,000) mashost windoek @Tsh 8,500...hahaahaa almanusura nifilisike mle, nikapakimbia nikarudi uswahilini na company nao ya bata nikaipiga chini, [emoji1787][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana siwezi rudi zile enzi,, ule ni utumwa aiseeeh,,, hata Mungu unamsahau kiukweli
MufirisiLegder Plaza si mchezo, Konyagi ya sh 8,000/- kitaa wanauza 80,000/-!
Dah gari lishawaka hiloKila nikifikiria mwili unaokunywa na usiokunywa wote unaenda udongoni....
Waiiii nakiwasha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106][emoji3578][emoji3578]Kila weekend ( napenda sana siku ya j'pili coz hamna foleni barabarani) nawachukua mashost hao ledger plaza njiani mziki mkubwa unaona maisha ndo haya[emoji16]...yale maeneo si unajua ukiingia ndani utafikiri uko Beverly Hills, mi nakunywa wine ( 30,000) mashost windoek @Tsh 8,500...hahaahaa almanusura nifilisike mle, nikapakimbia nikarudi uswahilini na company nao ya bata nikaipiga chini, [emoji1787][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema piaHapana siwezi rudi zile enzi,, ule ni utumwa aiseeeh,,, hata Mungu unamsahau kiukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa kwenye miziki ya congo nimecheka sana maana jamaa yangu akilewa huwa anayakata mauno balaa na ole wako mziki uzimike (hata kwa bahati mbaya ama ile umeisha uchelewe kuanza) atatukana balaaKipindi nakunywa ilikuwa ikifika weekend natafuta chimbo la ukweli tena lisilo na vurugu huku naskiliza miziki ya Congo yaaan, ni kumaliza pesa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahahahNoma sana, environment iko poa sana.
Bei za vinywaji ndo tabu.
Kuna chupa ya Jack Daniels mtaani tunapata kwa 55-60, wao wanaiuza 200+.
Kwa hiyo ni lazima uwe umejipanga hasa.
Toka Magu aingie nimefika mara 5 tu kule, wakati miezi miwili ilikuwa haiishi.
Hahah huwa sielewi mziki wa Congo una uhusiano gani na pombe,, hapo Dodomyaa nlikuwa ile siku ya mechi Taifa star na Uganda maeneo ya mji mpya pale ktk yaaan watu walilewa sanaaaa,, mi nikawa napga vitu softi basi watu wananichek kama sifanani na kutokunywa bia, dahhhapa kwenye miziki ya congo nimecheka sana maana jamaa yangu akilewa huwa anayakata mauno balaa na ole wako mziki uzimike (hata kwa bahati mbaya ama ile umeisha uchelewe kuanza) atatukana balaa
mwingine akilewa anaanza kulia eti nimpeleke kwao pawaga (iringa huko) hapo tuko dodoma
basi walevi wana mambo ya ajabu sana