1m in 20 working days..Watu wanadharau..bila kujua..
Bei ya jumla sokoni ni 280-350 kwa Hindi moja
Mkaa kwa siku ni elfu NNE...
Hiindi moja mjini linauzwa sh. 700-1000...
Akiwa sehemu nzuri anawastani Wa mahindi 100kwa Siku.. Na uharibifu mahindi 15 ... Huyu MTU anatumia max 45,000/-
Na anapata gross ya 100,000/-
Net 55,000/- tucheke ujinga tu.
Yeye na wewe unae subili ulipwe mwisho wa mwezi nani mjanja?huwezi kuwa unasubilia tarehe 30 ulipwe na bado ujione bonge la mjanja.Huyo graduate tena IT unachoma wahindi???. Self mind yake uko chini sana.
IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Hindi la wapi mkuu unalonunua sh 200 na kuuza 2000 acheni hesabu za abunuasi bwana.Unajua hebu tutulize vichwa kwanza.
Hindi 1@200/= kinatoa vipande 10@200.
Hindi moja anapata tsh 2000 kila hindi.
Toa 500, kwa ajili ya mkaaa na usafiri. Na other cost.
Akiuza mahindi 30 tu kwa siku.
30*2000= 60000kwa Sikh.
Tupate gharama kamili.
1500*30=45000@day
45000*30=1350000.
Endelea kuzomea tuuu.