Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
1m in 20 working days..Watu wanadharau..bila kujua..
Bei ya jumla sokoni ni 280-350 kwa Hindi moja
Mkaa kwa siku ni elfu NNE...
Hiindi moja mjini linauzwa sh. 700-1000...
Akiwa sehemu nzuri anawastani Wa mahindi 100kwa Siku.. Na uharibifu mahindi 15 ... Huyu MTU anatumia max 45,000/-
Na anapata gross ya 100,000/-
Net 55,000/- tucheke ujinga tu.