Toka nizaliwe hakuna siku nimekereka kama jana!
Niko na sista tumetoka supermarket kununua vitu vya homu tumeshikana mikono mara nakutana na washkaji zangu wa kazini.sista akawa katangulia kunipisha nisalimiane nao cha ajabu wakaanza kunisifia kwamba eti nafaidi huo mgongo wa sista mara oohhh ndio maana utaki tuje skani kwako kumbe una kitu kali hivyo!
Mara ooohh huo mgongo tunajua hujaucha ulivyonona hivyo!
Yaani kweli sisi wabongo tunawaza ngono tu mda wote usisimame na mwanamke kumsalimia wames hajua kitu yako!
Jirekebisheni bana khaaa