Jana kidogo nimscopion mtu!

Jana kidogo nimscopion mtu!

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
Toka nizaliwe hakuna siku nimekereka kama jana!

Niko na sista tumetoka supermarket kununua vitu vya homu tumeshikana mikono mara nakutana na washkaji zangu wa kazini.sista akawa katangulia kunipisha nisalimiane nao cha ajabu wakaanza kunisifia kwamba eti nafaidi huo mgongo wa sista mara oohhh ndio maana utaki tuje skani kwako kumbe una kitu kali hivyo!
Mara ooohh huo mgongo tunajua hujaucha ulivyonona hivyo!
Yaani kweli sisi wabongo tunawaza ngono tu mda wote usisimame na mwanamke kumsalimia wames hajua kitu yako!
Jirekebisheni bana khaaa
 
Mmeshikana na pengine kimahaba na dada yako!!? Ushamla huyo, vijana wa siku hizi ni hatari sana.
 
Inakeraaa sanaaa kuna watu wenginee hawana hata akili za mkopo ukiongozanaa na mwanamkee utasikiaa naona upo na shemejii haujatambulishwaa huyu ninanii kaushaaaaa
 
Hiyo mikono mlishikana vipi hadi watu wanadauti?
 
tatizo ni ww kuleta uzungu mwingi mnashikana mikono ili mgundue nn?

mazingira yalifanya aonekane ni mtu wako acha utoto huo
 
Eenhee maana hakuna namna " whitedents voice"
 
Hahhahahahahhahahhahaha hapo kwel shida. Na tena ukikutana na washikahji. Ni shida sanaaa
 
Asante kwa taarifa kuwa dada yako ana mgongo wa haja.Sasa tangazo halijakamilika maana hujaweka mawasiliano yake ya uhakika.
 
Back
Top Bottom